Hey Networkers, Help me out! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hey Networkers, Help me out!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Mar 30, 2011.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Natumia TTCLBB, Modem Smartax MT880, winxp, win7 pcs on wired LAN. A couple of laptops connecting using CISCO Linksys WRT1220N. Nina matatizo mawili

  1. Im forced to rely on a single pc, since naitumia kama server: na configuration zote za ttcl nimesave humo. Nitawezaje kujitengua na mtego huo?
  2. Nitawezaje kuifanya connection yangu iwe "always on", yaani napowasha tu kitu kinaenda hewani, isinilazimu kuconnect manually kama sasa?
  3. Swali la nyongeza: Nitawezaje kublock kabisa baadhi ya website ambazo sitaki watukutu wangu wazifungue?
  Natanguliza shukrani nyingi.
  Wasalaam
  Mjomba Amoeba.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Swali la kwanza linahitaji ufafanuzi zaidi, hizo PC zipo connected kwenye switch au? na internet zinapataje? kutoka kwenye modem au kupitia hiyo main PC? Pia ukiweka hizo settings kwenye PC nyingine haikubali?

  Kuhusu kuconect automatically.

  Kwanza hii Modem inauwezo wa kuconnect yenyewe bila kutumia PC mfuate huyu bwana YouTube - how to make your fawri modem smartAx Mt880 router na maelezo yake, sijui ni lugha gani hii ila inaeleweka ukifuata steps, kama TTCL wamezima option hiyo basi fuata maelezo yangu. Pia YouTube - Make Fawri Router & Autoconnect

  Ikishindikana ya kwanza fuata hii.
  Ninavyoelewa ni kwamba kukonect na internet inabidi u-log in kupitia Windows si ndio? Kama ni hivyo:

  Nenda control panel Network connection.
  Itafute connection yako ya TTCL.

  Right click nenda properties.

  Toa ticki kwenye "Prompt for name and password..."

  Click ok.

  Right click connection tena, nenda Create shortcut.

  I move hiyo shortcut had kwenye Startup folder in XP nadhani ipo
  C:\Documents and Settings\All Users\Start Menu\Programs\Startup

  Sasa intenet yako itaconnect PC ikistart.

  Kuhusu kublock sites unaweza kuinstall blocking software kwenye PC zote mfano Naomi - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com, au kutegemea na unaitumia vipi hiyo main PC kama server? Unaweza ukablock hapo kwenye main PC yako kama connection zote zinapitia hapo so kama unatuitumia kama Proxy server, inaweza ikawa na option ya kublock sites either manually au automatically.
  Mwishoni unaweza kutumia service kama OpenDNS wana option ya blocking sites za makundi fulani, so utaset network yako itumie DNS zao and then itablock kutokana na domain name.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Swali la kwanza: ndiyo mkuu natumia swithch, nimeconfigure connection yangu iwe shared "ICS", Hiyo server yangu inalazimika kuwa on muda wote ndy pc zingine zipate net!
  Wacha nifuatilie hayo maelezo uliyoweka, huenda yakawa ukombozi!
  Thanx
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kama unafahamu jinsi ya ku login ktk hiyo moden unaweza ku change configuration ili moderm iwe inaunga direct maana ina uwezo huo au wasiliana na isp wako akusaidie kwa hilo na tatizo la kwanza litakuwa limeisha. tatizo la tatu si kuwa sina hakika na software ila router kama cisco na cyberom zinakusaidia kwa asilimia mia
   
Loading...