Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Jamani wanaJF mimi naomba kuuliza, nimelipia mpesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini?
wapigie voda kama hawajakurejesha sms ya malipo......itunze sms utatumia kujisajilia keshe jion ndo uakika itakuwa ishatumwa bodi kwenye data baseJaman wanajf me naomba kuuliza,nimelipia m pesa toka mchana lakini sijaletewa ID tatizo nini?