Mbona wengine tunakatwa kila mwezi kwenye mshahara?Aisee halafu nimeona jina langu.
ni kweli aisee hata mimi nimebakiza mz 5 tu nimalize deni tena ghafla mwezi dec walibadili makato toka 5 hadi 15% ya mshahara lkn nipo kwenye orodha ya defaulters!Heslb hawapo makini, hawawajui wadaiwa wao, badala yake, wamechukua majina ya wanafunzi karibu yote ya wale waliosoma katika vyuo mbalimbali kwa miaka husika na kuwaweka katika matangazo; huenda labda ndiyo wanawatafuta wadeni wao, mimi nimemaliza deni langu tangu September 2010. lakini cha kushangaza nipo katika lisit. pia kuna watu ambao nawajua wamemaliza kulipa au wanaendelea kulipa lakini wapo katika lists. Wana- JF advice us, steps to be taken to Heslb for disclosing our name sas loan defaulters while we have already repaid our loans.
Mimi nilishalipa siku nyingi lakini jina lipo, naona wamechukua tu majina yote.....sidhani kama hii list iko sahihi!
Mliopata mikopo muwe waungwana msipolipa wenzenu watasoma na nini wakati inaeleweka fika kuwa kila mwaka wanaohitaji mikopo wanaongezeka kwa kasi kuliko makuasanyo ya serikali.
Mimi nilishalipa siku nyingi lakini jina lipo, naona wamechukua tu majina yote.....sidhani kama hii list iko sahihi!