Heslb yani awaeleweki kabisa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heslb yani awaeleweki kabisa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by utakuja, Aug 15, 2012.

 1. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Habarini za mchana hapa nilitaka tu niwaonyeshe hawa majamaa wanavyochanganya watu maana ukiangalia website yao wameandika kuwa watu ambao awajaweka guarantor's photo wanabidi watume tu kwa barua lakini nilivyo enda nimepewa maelezo tofauti nawahusika wakiniambia kua sasa mdhamini anabidi andike barua fupi yakukudhamini wewe,abandike picha,asign,na ipelekwe kwa wakili ndio,itumwe sasa mbona awakuandika ichi kitu kwenye website yao
   
 2. Petersume

  Petersume Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Tanzania' bob. Wewe fuata una choambiwa, hata ukiambiwa ulete picha ya wakili, swala ni kupata mkopo.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Msalimie mbwa bora upite. fanya wanavyotaka mwanangu!
   
 4. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Dah! kweli sina ujanja,lakini wangeiweka wazi ili kila mmoja ajue
   
 5. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameshakuwa na wasi wasi na ninyi mlishasahau wadhamini kwahiyo mnaweza msirudishe mkopo hivyo wamewaongezea mashariti
   
Loading...