HESLB: Wrong A-level index number

HESLB: Wrong A-level index number

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
155
Reaction score
88
najaribu ku save index number ya form six system haikubali inaniandikia wrong index number!waliopata changamoto hii kwenye ujazaji wa form za mikopo tujuzane.
 
Labda unakosea tazama kwa umakini mdogo wangu.
 
Hapana, hakuna cha umakini wala nini, hata mimi inanisumbua. Mimi naona kama vile kuna tatizo la form design. Kwenye hiyo online form kuna mahali pameandikwa form six index no. lakini hakuna sehemu ya kujaza hiyo index no.Sehemu ya kujaza ipo mbaliii! Huenda hilo ni tatizo.
 
daaah wengne mjna ya shule a level hayonekan sa cjui ndo 2natakiwa tujtegemee wenyewe au
 
Tatizo hilo lipo nami nilikumbananalo lakin nilipojaribu kuijaza kama overseas index no. Ikakubali nanikaprint nikatuma lkn nikaitolea maelezo kwa maandish
 
najaribu ku save index number ya form six system haikubali inaniandikia wrong index number!waliopata changamoto hii kwenye ujazaji wa form za mikopo tujuzane.
Kuna shule flan iv ina namba za usajil S.5098 Muyovoz hii skul ni mpya kabsa.
Ila ukiingiza kwenye kuapply bod ya mikopo wanasema "school index number not found"
Apo pamenichanganya sana!!
Msaada please
 
Andika no yako pamoja na ya shule.
 
Mkuu kwenye kujaza ile form ya kuapply ivo vitu vimetenganishwa na hakuna sehem ya kuweka nukta.
Ila mwisho wa cku shule hainekan
Hujanielewa,iknow kwenye form Hamna nukta,lakini ukiwa unaandika inabid uandike km nilivyokueleza hapo juu,hebu jaribu nivyokwambia ikigoma ndio urudi tens hapa.
 
Bado inazingua inasema school name not found
 
Back
Top Bottom