mbona huko na hasira kwani hela anatoa baba ako au nikodi zetu.Ukute ni muajiriwa kabisa Serikalini tena miaka zaidi ya mitano alafu unakuja kulialia mambo ya mikopo hapa tena kwa vyuo vya hapa Bongo..
Yaan Kuna watu ni waajabu sana hv hayo madeni mnayapenda eeeh..? Kama ni mfanyakaz kabisa utashindwa kunisomesha we miaka miwili..? Acheni uzwazwa
Hahahaha.. Baba yake naye ni mmoja wa hao wanaotoa 'Kodi zetu', hivyo lazima awe na hasirambona huko na hasira kwani hela anatoa baba ako au nikodi zetu.
Mjinga sana huyo jamaaHahahaha.. Baba yake naye ni mmoja wa hao wanaotoa 'Kodi zetu', hivyo lazima awe na hasira
Achana na mm mshamba wwMjinga sana huyo jamaa
Si hasira Ila nakuchana live.. undergraduate tu wanahaingaika na mikopo alafu uje kupewa ww.. kama una hela achana na mambo ya shule wache wenye pesa wasome unadhan elimu inatolewa kwa msaada..mbona huko na hasira kwani hela anatoa baba ako au nikodi zetu.
Ndio Ila Kwa baadhi ya vyuo nadhani, pia lazima uwe umeanza kurudisha.Hivi bodi ya mikopo ya Tanzania wanatoa mikopo Kwa wanafunzi wanaosoma master's?
Na kama wanatoa huwa tunaombake
[emoji1][emoji1][emoji1]mbona huko na hasira kwani hela anatoa baba ako au nikodi zetu.
Wanajamvi, naomba kujuzwa utaratibu wa bodi ya mikopo kwa elimu ya juu ( HESLB) kwa anayetaka kusoma shahada ya pili yaani Masters degree.
Hakuna mkopo kwenye degree ya pili ndugu,,,Nina uhakika wa 100%Hivi bodi ya mikopo ya Tanzania wanatoa mikopo Kwa wanafunzi wanaosoma master's?
Na kama wanatoa huwa tunaombake
Mkuu upo kwa baadhi ya vyuo na kozi, kubali kujifunza.Hakuna mkopo kwenye degree ya pili ndugu,,,Nina uhakika wa 100%
Kwan TCU ndo wanahusika na kutoa mkopo? Tofautisha majukumu ya TCU na HESLBHakuna kitu kama hicho TCU, Hawafanyi utumbo kama hiyo.
kwanza TCU inawa- consider sana undergraduate,na kusoma masters degree maana yake Ni kwamba wewe upo kwenye taasisi au unajiendeleza privately