Heslb & not secured

Heslb & not secured

wamisako

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
917
Reaction score
872
Sasa naanza kuamini HESLB lilikua ni bom llilotegwa linasbr kulipuka, boom hili lilisubiri uchaguzi uishe ndo lilipuke, Nakwer limeripuka na NOT SECURED limekumba watu wengi, ACHA WATU WAISOME NAMBA
 
Sasa wewe mtu unaona tcu guidebook inakuonya hii kozi sio priority, kwa ujeuri naww ukachagua hiyo hiyo unategemea tukufanyaje?? Nikukukata tuu hamna namna nyingine via #hapakazitu
 
Nyie watu bwana mkopo wakosa watu wote wa art haijalish uliomba koz ya priority hata kama mwalimu NI NOT SECURED acha namba isomeke
 
Sasa wewe mtu unaona tcu guidebook inakuonya hii kozi sio priority, kwa ujeuri naww ukachagua hiyo hiyo unategemea tukufanyaje?? Nikukukata tuu hamna namna nyingine via #hapakazitu

mkuuu boom halinaga prority wala cha non
yani kama huna zali huna tu...
masela wangu wa education kibao walikosa mkopo .
 
Sasa wewe mtu unaona tcu guidebook inakuonya hii kozi sio priority, kwa ujeuri naww ukachagua hiyo hiyo unategemea tukufanyaje?? Nikukukata tuu hamna namna nyingine via #hapakazitu

Kwa ulimbukeni huu ndio maana tuna watanganyika na wadanganyika, Hakuna kozi isiyo na umuhimu, hivi umeshawahi kujiuliza kama wote tutasoma udaktari hali itakuwaje? Je, kozi nyingine atasoma nani? Je, vyuo vilivyo na kozi zisizo na kipaumbele vifungwe sasa au vigeuzwe vyuo vya udaktari? Think beyond.
 
we unadhani udaktari anasomea l
kilaza yeyote,we baki na hkl yako acha kuwaza health
 
Sasa naanza kuamini HESLB lilikua ni bom llilotegwa linasbr kulipuka, boom hili lilisubiri uchaguzi uishe ndo lilipuke, Nakwer limeripuka na NOT SECURED limekumba watu wengi, ACHA WATU WAISOME NAMBA

Ccm serema
Magufuli serema
Jk serema
C.a.s seremaa
Tumejipanga mwaka huu mtaisoma nambaa
 
Kwa ulimbukeni huu ndio maana tuna watanganyika na wadanganyika, Hakuna kozi isiyo na umuhimu, hivi umeshawahi kujiuliza kama wote tutasoma udaktari hali itakuwaje? Je, kozi nyingine atasoma nani? Je, vyuo vilivyo na kozi zisizo na kipaumbele vifungwe sasa au vigeuzwe vyuo vya udaktari? Think beyond.

Mkuu nadhani hujanielewa usikurupuke..
Swala ni kwamba kozi hiyo ni non priority na wala swala sio eti kozi haina umuhimu..

Umenisoma/????

Basi sema ccm seremaa
 
Back
Top Bottom