Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,519
- 32,675
umepewa nafasi ya kusoma bure umeikataa sa hv unali lia mkopo.
Acha mbwebwe angalia TBC matokeo
Hawa board toka wa-update information kwenye website yao tarehe 12 October mpaka leo kiiimya...watoe taarifa sasa za maendeleo ya kile wanachokifanya
HIVI JAMANI SISI WATOTO WA WAKULIMA TUTASOMA KWELI MWAKA HUU.
Hakkuna kinachoniumiza akili kama kulipa ada kabla ya kuripoti chuoni na mkopo ndo hata bado haijajulikana ni lini utatoka na tarehe rasmi ya kuanza masomo ni tarehe 2 november,dah...!
Nauliza vipi bodi ya mikopo bado haijatoa majina ya waliopata mikopo? na pia nikitaka kujua kama nimechaguliwa kupata mkopo nifanyeje.