HESLB nini tatizo?

HESLB nini tatizo?

Abdul Nassir

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
79
Reaction score
9
Mi nadhani tu heslb itangaze na iweke wazi tu hakuna mkopo marahii mana hadi sasa hakujatolewa majina na trh 31 vyuo vyengine ndio reporting day yao.
Akh semeni tu mumezitumia kwenye kampeni zenu ( CCM), na mlikua ata bajeti maraa hii hamkuweka katika Elimu mumeweka katika kampeni.
Yaani hasira naingia kipindi cha kampeni fulana na makofia buure, dah hata mafuta huku zenj nayo buree mmepoteza hela nyingi kiukweli.

Sijui kama nitasoma chuo mwaka huu.
 
Kura umpe Magufuli lawama upeleke HESLEB!!!!??
 
Nauliza vipi bodi ya mikopo bado haijatoa majina ya waliopata mikopo? na pia nikitaka kujua kama nimechaguliwa kupata mkopo nifanyeje.
 
Na mpaka sasa magufuri anaongoza
 
mwaka huu ni shida sana hasa kwa watu wanaoishi vijijini huko wanakokosa hata huduma ya internet.

omba EL apite ili usome bure
 
EL atapitaje na miwatu ishatuponza na mapombe yao
 
yote maisha mkuu...

hatuna budi kukubali ila hawa HESLB kiukweli wanaumiza watu maana wiki ijayo tu vyuo vitakuwa vimefunguliwa. sijui serikali inawaza nini juu ya hili
 
nimechukia edo kukosa uraisi tungesome bure nikiiona ile mbuzi ya Ccm roho inachafuka nakumbuka siku moja mzee kingunge aliita n nyampara ya mabarabara
 
hahahaha nmecheka sana eti kura umpe magufuli uisumbue bodi looo? ila nawahurumia vyuo kama mwecau leo ni registration jumatatu ni masomo rasm
 
Mi nadhani tu heslb itangaze na iweke wazi tu hakuna mkopo marahii mana hadi sasa hakujatolewa majina na trh 31 vyuo vyengine ndio reporting day yao.
Akh semeni tu mumezitumia kwenye kampeni zenu ( CCM), na mlikua ata bajeti maraa hii hamkuweka katika Elimu mumeweka katika kampeni.
Yaani hasira naingia kipindi cha kampeni fulana na makofia buure, dah hata mafuta huku zenj nayo buree mmepoteza hela nyingi kiukweli.

Sijui kama nitasoma chuo mwaka huu.

Acha mbwebwe angalia TBC matokeo
 
Back
Top Bottom