umeangalia lakini na chuo husika ulichochaguliwa ?jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui wanafanya hivi kumfurahisha nani!
HAIWEZEKANI MAJINA YATOLEWE KUWA MWANAFUNZI KAPATA MKOPO WAKATI KWENYE ALLOCATION HAMNA KITU.
ukienda kuulizia wanakwambia wamegundua huna vigezo!!!!
MSAADA WADAU NINI CHA KUFANYA???
maana hapa kuna dogo kachanganyikiwa ameenda chuo kakuta jina hamna, kwenda ofsini kwao ndo kapewa majibu ayo
Duuh hii ni hatari,aende bodijamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui wanafanya hivi kumfurahisha nani!
HAIWEZEKANI MAJINA YATOLEWE KUWA MWANAFUNZI KAPATA MKOPO WAKATI KWENYE ALLOCATION HAMNA KITU.
ukienda kuulizia wanakwambia wamegundua huna vigezo!!!!
MSAADA WADAU NINI CHA KUFANYA???
maana hapa kuna dogo kachanganyikiwa ameenda chuo kakuta jina hamna, kwenda ofsini kwao ndo kapewa majibu ayo
Hii kitu inaukwel??, huyo kapata mkopo batch ya ngapi kwan? Tuanzie apo, wengi sana ukiangalia kwenye account zao hamna kitu kabisa ila majina wamoo, sijajua hii kitu imekaa aje, cha kufanya wafike mapema sana chuo wakikuta hapaeleweki wapande bod ya mikopo wote kwa pamoja wakaulize kwa logicjamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui wanafanya hivi kumfurahisha nani!
HAIWEZEKANI MAJINA YATOLEWE KUWA MWANAFUNZI KAPATA MKOPO WAKATI KWENYE ALLOCATION HAMNA KITU.
ukienda kuulizia wanakwambia wamegundua huna vigezo!!!!
MSAADA WADAU NINI CHA KUFANYA???
maana hapa kuna dogo kachanganyikiwa ameenda chuo kakuta jina hamna, kwenda ofsini kwao ndo kapewa majibu ayo
kapata batch ya kwanza!!Hii kitu inaukwel??, huyo kapata mkopo batch ya ngapi kwan? Tuanzie apo, wengi sana ukiangalia kwenye account zao hamna kitu kabisa ila majina wamoo, sijajua hii kitu imekaa aje, cha kufanya wafike mapema sana chuo wakikuta hapaeleweki wapande bod ya mikopo wote kwa pamoja wakaulize kwa logic
Hii bodi ifutwe tu sasa maana imeanza kulewa kazibodi kaenda kaambiwa vigezo hana.
swali ni je hadi wanatoa majina hawakuona kwamba hana vigezo???
Duu mwambie aende bod na iyo list ya kwanza, awakomalie wampe maelezo ya kutosha,kapata batch ya kwanza!!
chuoni jina halipo na hayo ndo majibu kapewa bodi
Hii bodi ifutwe tu sasa maana imeanza kulewa kazi
Mwambie awe kama wewe hujawahi kuwaza mkopo.jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui wanafanya hivi kumfurahisha nani!
HAIWEZEKANI MAJINA YATOLEWE KUWA MWANAFUNZI KAPATA MKOPO WAKATI KWENYE ALLOCATION HAMNA KITU.
ukienda kuulizia wanakwambia wamegundua huna vigezo!!!!
MSAADA WADAU NINI CHA KUFANYA???
maana hapa kuna dogo kachanganyikiwa ameenda chuo kakuta jina hamna, kwenda ofsini kwao ndo kapewa majibu ayo
jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.