Unaishi bongo kweli? Au ndio umekuja kutoka ulaya?Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.
Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?
Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.
Refund ni nin na inakujeNasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.
Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?
Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.
Na wewe uliamini kuwa kuna mfumo ?Walisema unaosghulikia ni mfumo,
Na umesetiwa kutoa majibu ndani ya siku 90.
Huu ukimya hadi Leo inamaanisha huo mfumo wana udisable makusudi au nao ni wa kiswahili swahili tu!!
Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu.Ndio, kawacheki
NIMEFATILIA sana, nimeenda Mwanza pale wapo mabwanyeye tu ni kukwambia tu, SUBIRI huku hamna lolote linalofanyika, nimeenda dar , wao wanajua kusikiliza vzr lkn ukishatoka, imetoka.Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu.
Naomba kuuliza hivi system inasetiwa automatically zikifika siku hiyo ili itoe pesa Kwa alijaza fomu online au system ipo under control ya mtu?