ROGERSHINE
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 129
- 82
Wapendwa wana jf kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika ni kwamba loan allocation for academic year 2012/2013 ni mpaka mwezi wa kumi kutokana na mchakato mzima wa utoaji wa mikopo hiyo kuchelewa kuanza na mfumo mzima wa utoaji mikopo kubadilika tofauti na miaka iliyopita,najua hii c habari nzuri but inabidi tukubaliane na ukweli na kuacha kufarijiana tukielezana kila siku mikopo inatoka kesho na siku zinazid kuyoyoma pasipo kuona mabadiliko yoyote
AHSANTENI SANA NA POLENI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUSUBIRI LOAN ALLOCATION
AHSANTENI SANA NA POLENI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUSUBIRI LOAN ALLOCATION