We umeandikiwa nini? Ili tukusaidie vizuriHivi kama mtu hajapangiw mkopo kwenye application status yake anaandikiwa nini ama inakuajee?
Sio mara nyingi huu ni mfumo mpya. Kuna wale ambao watapangiwa kwenye second batch. Na ndio mdau kauliza, status inakuaje? Utakuta "you are not allocated loan in the 1st batch."Mara nyingi ukiwa umepangiwa unakuta kuna Breakdown ya Loan but kama haujapangiwa unakuta hakuna break down ya Loan.