HESLB inatukwamisha walala hoi

ushahidi wa unachokiongea upo wpi.....acha kupanic brooo
 
Hii kitu ilitokeaga 2016 majina ya batch yote ya kwanza yalifutwaaaa kwa madai kwamba wamepewa watu ambao sio, soo subililin chochote kinaweza tokea kwa hii nchi ya maguu

Kwa sababu nimeona hata waliomaliza 1996 fom four wamepata mkopo, hayo majina ninawasi wasi nayoo
 
 
Kuna MTU kamaliza 1996 kapata mkopo???
 
wala Cjapanic Nimeandika 2 Kuonesha Uonevu Unaoendelea Uktaka Ushaidi Njo Gheto Nkuoneshe
Noted! but jaribu kuwa na akili yenye manufaa ....co mambo ya gheto yann .....et mara 96 ...how sure are na ata ukitaitishwa hapo gheto utakua na vivid evidence plus document joh
 
Hili boom umelipania sana mkuu ila nikwambie kitu ile pesa ni ndogo sana halafu inakuaga na kilaana fulani hivi. Kuwa makini nayo sana, chuo si A-level eti kuna chakula cha shule.

Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018 - JamiiForums
You are my fan for sure,, maana huwezi kuwa unanifuatilia hivi.

Note: sijapania Boom wala Mkopo nimepania Elimu, ningekuwa na uwezo wa kujisomesha au wazazi kunisomesha nisingeomba hata huo mkopo.
 
Form six kamaliza lini??
 
Noted! but jaribu kuwa na akili yenye manufaa ....co mambo ya gheto yann .....et mara 96 ...how sure are na ata ukitaitishwa hapo gheto utakua na vivid evidence plus document joh
tatizo Ilo Tatizo Tumelisi Wa Tz Wengi Kila Kitu Unaisi Unadanganywa Nkikupa Uo Ushaidi Utaufanyia Nn Wenye Mamlaka Wameshabaliki Aisaidii Kitu
 
Daah kwa yoyote alikua huko karibu na walipo helsb waende kuulzia kuna nini ili atu update tuwe waz maan ni kama tumefumbwa machoo
 
Daah kwa yoyote alikua huko karibu na walipo helsb waende kuulzia kuna nini ili atu update tuwe waz maan ni kama tumefumbwa machoo
Kueni wavumilivu vijana...haraka haraka haina baraka...
 
Kueni wavumilivu vijana...haraka haraka haina baraka...
brother,sio kama tuna haraka ila,tunafanya hivi kujiandaa mapema tu,kwa sababu nasikia unaweza kupata tuition fee 0%,ukapata boom tu sasa hiyo nusu ada ya kulipa muda wa kuripoti ni kubwa,sasa mfano mimi wazazi wangu hawawezi kuamka usiku mmoja na kupata pesa hizo,ni bora helsb wajiangalie watoe allocation hizo ili mtu ajiandae kuongezea pesa
 
Well said bro wengne pesa mpk tuchangiwe ndo tuweze kulipa ikichelewesh hv tutaumia sana
 
Well said bro wengne pesa mpk tuchangiwe ndo tuweze kulipa ikichelewesh hv tutaumia sana
dah! ndio hivyo brother,mambo ni magumu kwelikweli wakati mwaka jana walipeqa allication majina yalipotoka tu! Sasa mwaka huu maeneo yote ni presha tu,sio necta,sio tcu na sio bodi ya mikopo!
 
dah! ndio hivyo brother,mambo ni magumu kwelikweli wakati mwaka jana walipeqa allication majina yalipotoka tu! Sasa mwaka huu maeneo yote ni presha tu,sio necta,sio tcu na sio bodi ya mikopo!
Daah yan n vurugu tupu kama upo karbu nenda kaauliziee helsb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…