J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Nov 20, 2012 #1 Wakuu habari zenu, Naomba mkuu mwenye namba ya simu ya mfanyakazi yeyote anayefanyia Higher Education Students' Loans Board Anipatie. Kuna wanafunzi wana shida na mikopo yao, hivyo nataka kuwasilisha matatizo hayo (Nawasaidia tu hao wanafunzi). Natanguliza shukrani. classics
Wakuu habari zenu, Naomba mkuu mwenye namba ya simu ya mfanyakazi yeyote anayefanyia Higher Education Students' Loans Board Anipatie. Kuna wanafunzi wana shida na mikopo yao, hivyo nataka kuwasilisha matatizo hayo (Nawasaidia tu hao wanafunzi). Natanguliza shukrani. classics
J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Nov 20, 2012 Thread starter #2 NB: Kuna namba zao zile walizoweka kwenye web yao nimepiga mara nyingi hawapokei.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,395 Reaction score 99,256 Nov 20, 2012 #3 Rushwa hyo nenda ofisini kwao!
J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Nov 20, 2012 Thread starter #4 King Kong III said: Rushwa hyo nenda ofisini kwao! Click to expand... Mkuu King Kong III rushwa gani? Ni katika kujaribu kurahisisha utendaji tu mkuu.
King Kong III said: Rushwa hyo nenda ofisini kwao! Click to expand... Mkuu King Kong III rushwa gani? Ni katika kujaribu kurahisisha utendaji tu mkuu.