HESLB AWAMU YA TATU

HESLB AWAMU YA TATU

Nipe Kavu

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
115
Reaction score
181
Habari zenu wana jf,hiv kuna awamu ya Tatu kutoka heslb?kama ipo, mwenye ufahamu atwambie inatoka lini maana hali ni tete na Leo bwana mpango kasema uchumi umeshuka

Asanteni
 
Soon lakini kwataarifa nilizonazo hakuna atakayepata above 50%
 
Vuta Subra Ukikosa Ya Tatu Subiri Hadi Ya Nane Mwisho Wa Kutoa Awamu Zote Ni Tarehe 12 Ambapo Dirisha La Rufaa Litafunguliwa
 
Weken Basi Tuyaone Nasi Tujue Kama Tuendelee Kulima Vitunguu Au Tukope Nauli Twende Nasi Tukashangae Shangae
 
Batch 3 ishatoka ila majina yametumwa moja kwa moja vyuoni,fatilieni kwenye vyuo vyenu kama uko mbali mwambie MTU akuchekie
 
Apo duce mambo tyr
IMG-20181109-WA0023.jpeg
 
sua wametoa awamu ya 3 so endeleeni kusubiri kwa kumuomba Mungu
 
Back
Top Bottom