Mimi ni miongoni mwa eligible applicants wanaosubiri awamu ya tatu ya mkopo kwa 2015/2026 ambae pia ni continuing student.Ninaomba kujuzwa na WAHUSIKA WA BODI(naamini wamo humu JF) au mtu yeyote mwenye taarifa za uhakaika,NI LINI 3rd LOT itatoka?
Natanguliza shukrani.
[/QUOT
Tuendelee kudubiri.... budget ya continous student's ipo

m first year sijapata mkopo kwenye hizo hawamu zilizo tolewa sina huakika kama bado loan bod watatufikilia ss tuliobak mungu tusaidie
continuing student ndo waliopo chuoni? i mean wa mwaka wa pili,watatu na wanne?
hata 4m 4,5,6 nao pia ni continuing students
hope ni vyuo vyote nduguhivi kuna mwaka 2,3,4 hawajapata mkopo? na imetokea vyuo vyote au baadhi?
naomba jibu
hope ni vyuo vyote ndugu
Mimi ni miongoni mwa eligible applicants wanaosubiri awamu ya tatu ya mkopo kwa 2015/2026 ambae pia ni continuing student.Ninaomba kujuzwa na WAHUSIKA WA BODI(naamini wamo humu JF) au mtu yeyote mwenye taarifa za uhakaika,NI LINI 3rd LOT itatoka?
Natanguliza shukrani.
.......>>>>>>>>>>>
Jana nimepost nikihoji LOT 3 itatoka lini imetoka baada ya kuangalia still.............The student with Index number 'S0204.0045.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.Nimeishiwa nguvu,nimekata tamaa naomba sasa WAHUSIKA WA BODI wajitokeze hadharani na waruhusu maswali ya moja kwa moja.Chuo kimefunguliwa tangu trh 9 NOV 2015 na wenzangu wamekwisha anza masomo.