It's my Hope Kuwa mpo poa wanajF.
Inafahamika wazi kuwa HESLB( BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU),Tarehe 24/June/2016 Walitoa TANGAZO
Kuwa tar 27 June,wataanza kupokea Maombi ya mikopo, Unfortenatly Mfumo Ulikuwa Unasumbua.
JE,NI TAYARI WAMESHAREKEBISHA AU BADO?
Aulizaye ataka Kujua.
Kwa anayefahamu anijuze.