Najiuliza maswali sipati majibu wadau nisaidieni eti huyu Kinana ndiyo yule alikuwa mbunge wa Afrika mashariki pia akachaguliwa kuwa spika wa bunge hilo, hivi huyu ndiyo yule au huyu ni mdogo wake?
najiuliza maswali hayo sababu kinana wa wakati ule alikuwa ni Mtu makini kabisa na pia alikuwa ni mtu mwenye heshima zake. huyu ninayemsikiliza na kumuona ananitia mashaka makubwa. Kwa mfano:
Mzee Kinana tafuta busara za mzee warioba, Dr. Salim.
Yaani mzee Kinana umeporomoka kutoka spika wa bunge la afrika mashariki mpaka kuwa mpiga porojo wa ccm.
Nimesikia baada ya kampeni umeahidiwa kupewa ubalozi.
Nakushauri jiuzulu huo umeneja kampeni, kaa tunza heshima yako ili nawe uje uheshimiwe. Siku hizi unaniudhi mpaka nahisi wewe ni msomali
najiuliza maswali hayo sababu kinana wa wakati ule alikuwa ni Mtu makini kabisa na pia alikuwa ni mtu mwenye heshima zake. huyu ninayemsikiliza na kumuona ananitia mashaka makubwa. Kwa mfano:
- Kinana wa sasa hivi anatetea matumizi ya Salma na kuyaita ni matamizi ya kawaida eti huyu mama anakisaidia chama. kinana unaweza ukanifafanulia zaidi kwamba huyu mama ndiyo mwenye huo uwezo peke yake na hakuna mwanachama mwingine. na huyo mwingine angekuwepo angeruhusiwa kutumia 22,000,000 ndani ya masaa matano tu. na mtu mzima kama wewe ukawa unachekelea na kuita ni matumizi ya kawaida kabisa ?
- Kinana wa sasa hivi anaghushi risiti na kuudanganya uma wa watanzania rejea gazeti la mwanahasili wiki iliyopita tarehe 22/09/2010 risiti alizotuonesha ni za vitabu vilivyotumika tayari mwaka 2006 na kwa sasa vimefungwa.
- Kinana wa sasa hivi amakuwa mtetezi wa ufisadi na kila baya linalotendwa na familia hii inayogombea kuingia ikulu kuendeleza sherehe zisizo na kikomo kinana ndiye mtetezi. haya na hizo helicopter mbili kati ya hizo tunasikia mmepewa na mafisadi kwa mujibu wa marando.