Heshima kwa walimu

Heshima kwa walimu

MICHUTZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
271
Reaction score
534
Wana JF Nimatumaini Mko poa saana, poleeni na Majukumu yenu ya Kulijenga Taifa Japo sementi imeshuka bei ila Upande wa vyakula sokoni bei haikamatiki,..

Twende pamoja na Uzi huu. Kazi ya ualimu ni moja kazi yenye changamoto kubwa saana wakati nasoma elimu yangu ya msingi nilipenda saana kufanya kazi ya Ualimu na kadri muda unazidi kwenda nilitokea kuichukia hii fani uya ualimu, ni kazi yenye changamoto kibao. Miundombinu ya eneo la kazi, ukorofi wa wanafunzi, umbali wa eneo la shule na makazi ya mwalimu pamoja na Vitendea kazi.

Kwa walimu wanaofanya kazi shule za serikali changamoto ni nyingi kuliko wale wa shule binafsi

Mwalimu anaefanya kazi shule za serikali anafundisha darasa lenye wanafunzi 100+ vitabu ni vichache, madawati ni machache kwa Jinsi dawati lilivyo linapaswa kukaa wanafunzi wawili tu (2).


. Serikali zetu/yetu sjui inaona hii suala la elimu si kipaombele chake kuliko ndege. Elimu bure ni Janga kubwa saana wanafunzi wanabanana kama kwenye daladala za mbezi huku mwanasiasa akijisifia eti serikali inatoa elimu buree wakati changamoto kubwa ni kwa walimu?

Wenzetu waliondelea walianza kwanza na elimu.


Mzee lowassa kipindi cha kampeni alisema
Elimu elimu elimu,. Serikali inapaswa kuwakumbuka walimu saana. Ndoo wanaotengeneza wasomi mbalimbali nchini...




MT
FB_IMG_1551332166744.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pichani huwa namshangaa sana huyo mwalimu, sijui alishindwa kuita wanafunzi wamsaidie kubeba daftari au ndiyo kujituma
Wana JF Nimatumaini Mko poa saana, poleeni na Majukumu yenu ya Kulijenga Taifa Japo sementi imeshuka bei ila Upande wa vyakula sokoni bei haikamatiki,..

Twende pamoja na Uzi huu. Kazi ya ualimu ni moja kazi yenye changamoto kubwa saana wakati nasoma elimu yangu ya msingi nilipenda saana kufanya kazi ya Ualimu na kadri muda unazidi kwenda nilitokea kuichukia hii fani uya ualimu, ni kazi yenye changamoto kibao. Miundombinu ya eneo la kazi, ukorofi wa wanafunzi, umbali wa eneo la shule na makazi ya mwalimu pamoja na Vitendea kazi.

Kwa walimu wanaofanya kazi shule za serikali changamoto ni nyingi kuliko wale wa shule binafsi

Mwalimu anaefanya kazi shule za serikali anafundisha darasa lenye wanafunzi 100+ vitabu ni vichache, madawati ni machache kwa Jinsi dawati lilivyo linapaswa kukaa wanafunzi wawili tu (2).


. Serikali zetu/yetu sjui inaona hii suala la elimu si kipaombele chake kuliko ndege. Elimu bure ni Janga kubwa saana wanafunzi wanabanana kama kwenye daladala za mbezi huku mwanasiasa akijisifia eti serikali inatoa elimu buree wakati changamoto kubwa ni kwa walimu?

Wenzetu waliondelea walianza kwanza na elimu.


Mzee lowassa kipindi cha kampeni alisema
Elimu elimu elimu,. Serikali inapaswa kuwakumbuka walimu saana. Ndoo wanaotengeneza wasomi mbalimbali nchini...




MTView attachment 1034113

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom