Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious.
Mara moja moja kuwakumbusha hawa viumbe kujua mipaka yao c vbaya maana mazoea yakizidi sna ni htari kwa mahusiano