General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Askari ni askari tu! Mamwela wametumia mazingira kuendana na mavazi yao kama camouflage na wamefanikiwa, traffic police katumia nguzo nyeupe inayofanana na nguo zake kujificha na kafanikiwa...hesabu lazima ifike kwa wakati.
Litatoka Juu asilisikie au?Tren likipita hapo haliwezi kumpitia
Anapiga tochi gari zinazopita chini ya daraja treni.Kwa hiyo hapo anapiga tochi treni
πππ itakuw!!! ila nasikia kuna Makinikia yanpita apo...Baba J kaagiza yapgwe tochi haraka...Kwa hiyo hapo anapiga tochi treni