Wake zenu wajeuri hawatoi mbunye ...mnakuja nje halafu wa nje anaekupa mbunye utakapo unampangia masharti mara oooh nikiwa home usipige usinitext wala kufanya chochote kisa hutaki kumkwaza mkeo ....sasa si bora mpambane na matatizo yenu mlioyaoa huko shida gani kuwekeana masharti kama kwa mganga wa kienyejiSababu kubwa wanawake ndio chanzo gubu wamezidi hatar, inshu nyingine ni hii wanawake wengi walio kwenye ndoa wamekuwa wagumu sana kutoa kitumbua matokeo yake tunaenda kujilia vyetu sie nnje
Mnashauriwa na nani?
Nani amewashauri?
Kwasababu wamewaona hamna akili.Wataalamu wa mahusiano
Sikutanii nimevumilia naona unapita mipaka tuuUpo serious mkuu unacho kisema??
Kuchepuka ndio chanzo cha haya yote... Mke anabaki na maumivu kwa kuwa wanawake wengi huwa hawaondoki kwa ajili ya uasherati wa mme, inafikia hadi mme wa mtu anazaa na wanawake wengine...hapa hamjui ni kiasi gani mnawaumiza wake zenu.. Lkn bado ataendelea kuwa na wewe, akisema unazuka ugomvi mkubwa. Kipato cha familia mme anahonga michepuko mke akiomba anaambiwa hela hakuna, acheni kutafuta vi-excuse vya kuwaumiza wake zenu ili msiumizwe uzeeni hadi na watoto wenu ambao wameshuhudia tabia zako chafu... Wapo wazee wanaofurahia maisha ya bibi na babu kwa kuwa waliishi vizuri na wake zao. Km umeamua kuoa kwann Kuzaa zaa hovyo na makahaba, si ungebaki bachelor ukazaa na uwatakao kwa uhuru?
MNAYATAKA WENYEWE MKATAE MKUBALI
Yeah....wale wanaokataa wanaume ambao wanajipanga kimaisha sababu wanataka wakute wanaume wana kila kitu na wamekamilika wao waingie tu na kuanza maisha na kuolewa.Unaongea kama vile ninyi tu ndio mnateseka. Unajua wanawake wanaoteseka ni wengi kuliko wanaume
Hapana sio kweli, hata wale wanaoolewa na makapuku, wanatafuta wote wakizipata mume anaanza kuonyesha rangi yake halisiYeah....wale wanaokataa wanaume ambao wanajipanga kimaisha sababu wanataka wakute wanaume wana kila kitu na wamekamilika wao waingie tu na kuanza maisha na kuolewa.
Sio kwa miaka hii! Miaka hii watoto wa kike mnaishi kwa kuhisi zaidi badala ya uhalisiaHapana sio kweli, hata wale wanaoolewa na makapuku, wanatafuta wote wakizipata mume anaanza kuonyesha rangi yake halisi
Unaongea kama vile ninyi tu ndio mnateseka. Unajua wanawake wanaoteseka ni wengi kuliko wanaume
Mkuu, bahati mbaya kitufe cha like kipo kimoja tu. Umepresent kwa ufasaha kabisa mawazo yangu. Agiza Pepsi kwa MangiMkuu mbona hata sisi wanaume tunataka tupate wanawake ambao tayari wanajua majukumu yao yote kupika kufua kuosha vyombo kufanya usafi kumtunza mume na kulea watoto?
Na tukiwapata ambao hawajui hayo tunaachana nao tunasema eti wakajifunze kwanza ndo waje waolewe maana siyo kazi yetu sisi kuwafundisha sasa iweje wao wakubali kuolewa na wanaume ambao hawana pesa halafu eti watusaidie kutafuta kwani ni majukumu yao kutusaidia kutafuta pesa? Na sisi tutafute kwanza pesa ndo tuoe
Halafu kuwa masikini haimfanyi mwanaume kuwa na mapenzi ya kweli na kuwa tajiri haimfanyi mwanaume kuwa na mapenzi ya uongo kuna wanaume hawana pesa na wamepata wanawake ambao wapo tayari kuwavumilia lakini bado wanaume hao wanaleta uhuni au kuna wale ambao wake zao waliwasaidia kuchuma mali baada ya kufanikiwa wanaanza kunyanyasa wake zao na wanaofaidi hizo mali ni michepuko
Na hapo ndo utajua kuwa kumbe saa nyingine umasikini unamfanya mwanaume kuwa mpole na mwenye mapenzi ya kweli ila akishakuwa tajiri tu ndo utaona makucha yake ambayo alikuwa ameyaficha halafu pia kuna wale matajiri ambao wana mapenzi ya kweli kwahiyo mimi nawashauri dada zangu wakiweza kupata wanaume wenye pesa wakubali tu tena wale wanaohudumia siyo wabahili ili hata kama wakiachika kuna vitu waliambulia kuliko kupenda masikini halafu anaachika hajaambulia chochote kama wenyewe wanavyosemaga kamsemo kao kale "ni bora kulilia ndani ya gari kuliko kulilia juu ya baiskeli" maana dunia yenyewe ndo hii wanaume wengi ni wahuni haijalishi ni tajiri au masikini tena tunavyozidi kujitapa humu mitandaoni kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka wote baba yetu ni mmoja basi ndo kabisa tunazidi kuwaogopesha na kuwatisha kwahiyo na wao wanaona liwalo na liwe tu hivyo tusiwalaumu wanawake