Heri yakutokee ujanani.

Kwanza ni vizuri nijue jinsia yako.
 
Mm ninae teyar bint wa kitanga kizgua dot com wa handen kwa msisi ful sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Ok Sawa
Mpe haki yake vzr Kwel Kwel hadi aite maji wotooo
 
Kama unajijua ni bandidu usiwekeze kwa mwanamke mmoja ili kuepuka kifo cha uzeeni kitokanacho na msongo wa mawazo uliosababishwa na mkeo
 
Ndoa ni ndoano dawa ya kuondoa stress hizi ni kuchepuka tu amna namna mana wanawake ni ugonjwa wa kanza part II
 
Ndiyo maana wanaume tunatakiwa kuwa na vikao vya pamoja kila baada ya kila miezi 3.

Hii inasaidia kupeana mbinu mbadala.

Mwanamke ni kiumbe imara na hatari sana aliyejificha kwenye kivuli cha UDHAIFU.

Ukicheka naye saaaaana utavuna maumivu makali sana.
 
Sio wanaume tuu hata wanawake wanateseka sana kwenye ndoa zao! Ukiona kwako kuna afadhali mshukuru Mungu mno, na usichoke kuiombea ndoa yako!

Ni Mungu tuu atupe wenza wenye hofu ya Mungu kwa pande zote mbili!
 
Ndoa ni ndoano dawa ya kuondoa stress hizi ni kuchepuka tu amna namna mana wanawake ni ugonjwa wa kanza part II
Unachepuka kutafuta nini ambacho kwa mkeo hakipo?
 
Sababu kubwa wanawake ndio chanzo gubu wamezidi hatar, inshu nyingine ni hii wanawake wengi walio kwenye ndoa wamekuwa wagumu sana kutoa kitumbua matokeo yake tunaenda kujilia vyetu sie nnje
Na Mimi nimeuliza hivyo nasubiri jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…