Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
Mnashauriwa na nani?Ndo mana tunashauliwa kuchepuka sana kufidia maumivu ya uzeeni
Ila Mke mnatutesa sanaa kwa nn mnafanya hivi??Mnashauriwa na nani?
Nani amewashauri?Ndo mana tunashauliwa kuchepuka sana kufidia maumivu ya uzeeni
Unaongea kama vile ninyi tu ndio mnateseka. Unajua wanawake wanaoteseka ni wengi kuliko wanaumeIla Mke mnatutesa sanaa kwa nn mnafanya hivi??
Daaah Ndiyo maana tunachelewa kuoa aise
Kwa hiyo unaunga mkonon kututesaUnaongea kama vile ninyi tu ndio mnateseka. Unajua wanawake wanaoteseka ni wengi kuliko wanaume
Mtu mwenye uwezo wa kuwatesa acha awatese tu. Ila mimi siwezi kukutesa darlingKwa hiyo unaunga mkonon kututesa
Nlikua nasubir Jibu lakoMtu mwenye uwezo wa kuwatesa acha awatese tu. Ila mimi siwezi kukutesa darling
Nlikua nasubir Jibu lako
Ila ulivo malizia hapo Mwishon Nimefurah kusikia hivo mama
Tusitesane kama tumeamua kuishi pamoja tupendane bn
Tusikwazane mpz Sawa!!!!! nakupenda bn
Na wateswe tu.Mtu mwenye uwezo wa kuwatesa acha awatese tu. Ila mimi siwezi kukutesa darling
We jambazi kanisani unakwenda saa ngapi? Lao naitisha majina.Mapenzi yangu hayajawahi kupungua kwako hata wewe wajua
We jambazi kanisani unakwenda saa ngapi? Lao naitisha majina.
Kwel kabsaa Ndiyo maana nakupenda kila siku mke wanguMapenzi yangu hayajawahi kupungua kwako hata wewe wajua
Jiran Vp tena mbona unamtisha Mke wangu kipenz??We jambazi kanisani unakwenda saa ngapi? Lao naitisha majina.
Kuchepuka ndio chanzo cha haya yote... Mke anabaki na maumivu kwa kuwa wanawake wengi huwa hawaondoki kwa ajili ya uasherati wa mme, inafikia hadi mme wa mtu anazaa na wanawake wengine...hapa hamjui ni kiasi gani mnawaumiza wake zenu.. Lkn bado ataendelea kuwa na wewe, akisema unazuka ugomvi mkubwa. Kipato cha familia mme anahonga michepuko mke akiomba anaambiwa hela hakuna, acheni kutafuta vi-excuse vya kuwaumiza wake zenu ili msiumizwe uzeeni hadi na watoto wenu ambao wameshuhudia tabia zako chafu... Wapo wazee wanaofurahia maisha ya bibi na babu kwa kuwa waliishi vizuri na wake zao. Km umeamua kuoa kwann Kuzaa zaa hovyo na makahaba, si ungebaki bachelor ukazaa na uwatakao kwa uhuru?Habari wapendwa, naamini jpili njema na mujarab.
Wiki iliyopima nilipata fursa ya kuhudhulia seminar ya neno la Mungu katika harakati za kujijenga kiimani. Baada ya Seminar Pastor akasema Mwenye Shinda yeyote asimame na kueleza umma. Sikuamini macho Yangu yaani alisimama mbaba wa age btn 65-70 akiwa na majonzi anadai ina matatizo ya ndoa. Pastor akamwambia wataongea private. Niliumia sana nikamkumbuka kuna Mzee mmoja naye nilishuhudia waligawana vyumba na Mkewe, yeye banda la uani, Mke Nyumba kubwa Bahati mbaya Mzee hiyo Mzee amefariki. Hizi vurugu za ndoa ni bora zikupate ujanani unaweza kujipanga na kusonga mbele. Tuishi nao kwa akili, leo unafurahi ndoa yako ukafikili ndo mtazeeka pamoja.
Mtu asikutishe kipenz changu nitasimama na ww hadi mwishoNipo kanisani[emoji23][emoji23][emoji23]