Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,064
- 2,927
Heri ya Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya ndugu zangu tunashukuru kama tumefika hapa basi tuzidi kushukuru pia najua wengine mnajianda kwa kwenda mkesha kanisani! ni vizuri wengine tutaenda kesho Asubuhi napo pia ni siku?
Ndugu zangu nilikuwa nimekuja kama ndugu yenu mdogo wenu ata naweza nikawa mtoto wenu plz ndugu zangu nilikuwa naomba japo sh 15000 tu ata namimi nikaemehe ata namimi nimekwama kifedha ndugu sisi wa vibarua ni changamoto sana hasa hizi siku matajiri wameondoka fundi anakupa story tu nawe unaridhika naomba msaada wenu MWENYEZI MUNGU AWABARIKI 0674615883🙏