Ahsante mnoo kaka mtumishi; Nasubiri tu viwalo. Thanks muchWaooooh...
Happy birthday dada mtumishi Heaven Sent kwa niaba ya familia ya Mr Sumbai napenda kukuombea uwe na maisha marefu yenye kumtumikia Mungu nawe atakubariki na kukutimizia haja za moyo wako.
Katika siku hii muhimu ni vema ukaitafakari ile methali ya 3.
Hongera kwa kaka Kaboom kwa kukuza binti huyu. Umekuwa ukimlinda dhidi ya mabazazi humu jf.
Ahsante mnoo kaka mtumishi; Nasubiri tu viwalo. Thanks much
Khaa ndo nishinde na khanga[emoji15] [emoji15]Mtoto havai viwalo......
Khaa ndo nishinde na khanga[emoji15] [emoji15]
Nope nataka nianze kutupia viwalo kabisa mnipige na selfieWe labda nkununulie pampas, nep....Viwalo paka ukikua...
Keki saa ngapi? Nije na familia
Nope nataka nianze kutupia viwalo kabisa mnipige na selfie
keki uje nayo kutoka home teh
Nilitanguliza uso ili nipigwe selfie[emoji23] [emoji23]ha ha we mtoto...umetanguliza kichwa au ?? Miguu
Viwalo subiri ukue kue...
Mimi nakuja na shampein..!
Nilitanguliza uso ili nipigwe selfie[emoji23] [emoji23]
Acha ubahiri, mletee kanyera mumo bwana
Wewe zuga tu ila jioni nakusubiri hapa, nishaandaa kiwalo mwenyewe
Ahsante sana gelofriendHappy birthday my gelofriend Heaven Sent
Yani umejuaje, bora kanyela mumo itanishinda kuvuaOooh hapo sawa maana huyu mtoto bila kanyera mumo mambo hayaendi, hapendi kuvaa nguo sasa hiyo ndio dawa yake.