Heri ya Mwaka Mpya 2016.

Ahsante Mkuu ni Neema kubwa sa.a kuchaguliwa.
 
Pamoja nawe na members woooote wote bila kumsahau mkewangu kipenzi sana...A very unique woman @Angel Nylon
 
Wakuu nawatakieni Member wote Heri ya Mwaka Mpya 2016 na Mungu atutangulie.

asante nawe pia bila kusahau na members wote wa JF, moderators pamoja na waanzilishi wa JF akina Melo na Mushi kwa ujumla kila mmoja wenu awe na mwaka mpya huu 2016 mwema ulio na mafanikio na fanaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…