Heri ya kuzaliwa matege

Heri ya kuzaliwa matege

yani me nikajua heri ya kuzaliwa matege yani miguu ikiwa imepinda kidogo....
haaah kumbe Matege mtu....HBD
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe Matege ni ke?

Hizi ID hizi mweeh!!!
 
Last edited by a moderator:
Nikajua mtoa mada anajisifia kwa kuzaliwa miguu imepinda a.k.a Matege....

Kumbe Matege ni kiumbe cha jinsia ya Ke
 
Last edited by a moderator:
thank you honey... happy birthday to me
Kuna mtu aliwahi sema huku JF kuwa watu waliozaliwa miezi inayokaribia mwisho wa mwaka ni vilaza, akaenda mbele zaidi kwamba Mbaya zaidi ukute wamezaliwa mwisho wa siku kuanzia jioni mpaka midnight! I hope huwezi kukubaliana na uchunguzi wao!
Happy birthday friend!
 
Back
Top Bottom