kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 15, 2014 #1 Mama mmoja alikuwa anaishi na mwanawe Dogo na mama yake mzazi. Siku moja Dogo akipigwa na bibi yake akaamua kupiga kelele. DOGO: Heri ufe tu wewe........... Mama yake akamsikia MAMA DOGO: Unasema nini we mwanaharamu? Unamuombea mama yangu afe? Mungu atakulaani mama yako ndio atakufa
Mama mmoja alikuwa anaishi na mwanawe Dogo na mama yake mzazi. Siku moja Dogo akipigwa na bibi yake akaamua kupiga kelele. DOGO: Heri ufe tu wewe........... Mama yake akamsikia MAMA DOGO: Unasema nini we mwanaharamu? Unamuombea mama yangu afe? Mungu atakulaani mama yako ndio atakufa
Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,145 Reaction score 250 May 15, 2014 #2 Duh Shule Bana Na Kiswaili Chetu Ni Hatari!|