Heri niwe peke yangu

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,042
39,996
Wenye lugha yao wanasema Happy Hump Day...

Happy Hump Day to you all JF, Kasie loves you mingi.

Ohh itawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na fikira

Heri niwe peke yangu, heri niwe peke yangu mama

Ohh itawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na fikira

Heri niwe peke yangu, heri niwe peke yangu mama …..

Kolo kolola mama kolola kolola, kolo kolola mama kolola kolola

Embe dodo, embe dodo limelala mchangani embe dodo, embe dodo limelala mchangani

Kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele, kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele

Kweli ajali haikingiki asainipo Mola mwenyewe, kweli ajali haikingiki asainipo Mola mwenyewe. Ni chombo imara chenye thamani kilichopasishwa Uingerezani.

Kilinguruma Likoni kikatiririka wale pasenja wakafelea baharini …kilinguruma Likoni kikatiririka wale pasenja wakafelea baharini

Dereva kombo ungama zako zimekwisha, hapa Mombasa jirani wazikwa shirika.

Tuliona hivyo, kwaherini …..tuliona hivyo, kwaherini ….tuliona hivyo, kwaherini…. tuliona hivyo, kwaherini ….

Nilitoka kwako juzi nikitaka kusabahi mami oh alinijibu mwenzio hayuko katoka nikamwuliza kenda wapi akasema hajui vema nikipita vichochoroni nakukuta ukinywa chang'aa…

Umekwisha potea umekwisha potea wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa….

Chiriku kuu na machozi mbali kule kokotoni moyo hufanya manyezi ni kukosa kwa utunduni

Siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni kwa nilivyokuzoea kwa nilivyokuzoea kwa nilivyokuzoea chiriku kwa yako rangi ilivyoniingia moyoni nikenda mbali siishingi kukuacha pweke tunduni siku zapita sina usingizi sina furaha moyoni nakumbuka mazoea

Kolo kolola mama kolola kolola kolo kolola mama kolola kolola embe dodo, embe dodo limelala mchangani embe dodo, embe dodo limelala mchangani kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele......

Waacha tuu niendelee kubembelezwa ndo ulevi wa Kasie huo, sauti nzitoo….
 
Kasie ,
 

Attachments

  • ZA KALE ZIPO BY _THEM MUSHROOMS_ ( 270p ).mp4
    15.1 MB · Views: 24
  • Them Mushrooms - Wazee Wakatike (Songs from Kenya) ( 270p ).mp4
    5.6 MB · Views: 26
Back
Top Bottom