jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Wa jeshi LA nchi gani??Natamani ngekuwa mwanajeshi....
Tanzania ama US ...napenda sana hiyo kazi basi tuWa jeshi LA nchi gani??
Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uendeTanzania ama US ...napenda sana hiyo kazi basi tu
Mkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
kuwa hata scout mkuuMkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...
pia Mi mtumishi wa umma....sidhan kama watanikubalia kubadili kada....
Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!kuwa hata scout mkuu
Mi ninachoona US wametawanya military bases tofauti ya RUSSIAUS wana- figisufigisu sana
Sio mbaya utapeleka mtoto wako angalau hamu yako inaweza tuliaMkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...
pia Mi mtumishi wa umma....sidhan kama watanikubalia kubadili kada....
Ha ha ha (in Obama voice)kuwa hata scout mkuu
Unawasikiliza sana wazazi kiasi kwamba unawaishia hata ndoto zao wakati zako umeziweka kapuniTangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Team US kujeniTeam Putin hapa
HahahaTeam US kujeni
Unawasikiliza sana wazazi kiasi kwamba unawaishia hata ndoto zao wakati zako umeziweka kapuni
Nmekupata mkuu....Nniko na vijana wangu wawili...angalau mmoja akiwa mjeda sio mbayaSio mbaya utapeleka mtoto wako angalau hamu yako inaweza tulia