Nashanga kipofu anaona makosa ya lugha lakini makosa ya Bashite and Co mnajifanya eti hamuoni.Kumbe mmezoe kupiga chabo mnacopy hadi namba ya mtihani oneni sasa mnavyojificha jua kwenye vivuli vyenu wenyeweYaani hata makosa kibao huyaoni? Ha ha ha, watu mnatishika kirahisi sana.
Hahahahah unafedheheka brethren haka kalugha kakikafri nadhan kamekuchanganya kidogo soma kwa kwa sauti labda utaelewaUjinga nikumpamba mjinga kwa ujinga kudhania wote tu wajinga kwa ujinga wa mleta mada na upumbavu wa anayesifiwa kwasababu nimjinga kwa vyeti feki, mjinga kwa program zakijinga... Tokomeza dada powa, tokomeza wanamuziki, ujinga wakuvamia wanahabari, ujinga wakujikweza kama Mungu, ujinga wakujiona zaidi ya pm ujinga wakudhani yeye ni bora bila vyeti ila wengine hapana.
Very silly post.
PotsMake it in English please! The language of Mother Qeen!
Majungu
Mnajifanya mnajua sana Kiingereza ili kuficha ukilaza wenu, ha ha ha. Malofa wakubwa nyie.Nashanga kipofu anaona makosa ya lugha lakini makosa ya Bashite and Co mnajifanya eti hamuoni.Kumbe mmezoe kupiga chabo mnacopy hadi namba ya mtihani oneni sasa mnavyojificha jua kwenye vivuli vyenu wenyewe
Hahahahah unafedheheka brethren haka kalugha kakifri nadhan kamekuchanganya kidogo soma kwa kwa sauti labda utaelewa
Is there any existing person going by that name?
Upuuzi mtupu. Jivunie lugha tukufu ya Kiswahili. Acha fikra finyu za ukoloni mamboleo.Haya,hongereni ninyi mjuao kusoma na kuandika.
Who is it?Yes why not?
Who is it?
Ha ha ha, endelea kuwatisha makarai wenzako na Kiingereza chako cha ugoko. Mie simo.Haya mkoloni wa CCM
Who knows!Maybe,maybe not but as far as I know he does not exist.
Uwivu wa kike...na waliochini yake wanafanya kazi gani?yy anaonesha njia ili wengene wafuate...Bashite kaanzisha program kibao na hakuna hata moja aliyefanikiwa zote ni Kiki tu kujaza watu ofisini.
A new one? Don't know any rc by that name!Daud Albat Bashite RC