stevelwa Member Joined Nov 2, 2012 Posts 72 Reaction score 20 Dec 31, 2012 #1 wana jf mungu wabariki sana na mwaka ujao yaan dakika chache zijazo mungu atupe hekima na kuifanya jukwaa letu liwe na hadhi yake kama zamani maana siku hizi kimtindo tumeanza kupoteza dira. mungu tuongoze na kutusaidia.
wana jf mungu wabariki sana na mwaka ujao yaan dakika chache zijazo mungu atupe hekima na kuifanya jukwaa letu liwe na hadhi yake kama zamani maana siku hizi kimtindo tumeanza kupoteza dira. mungu tuongoze na kutusaidia.
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Jan 1, 2013 #2 Tupo 2013 hongera pia
W WAVISA JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 229 Reaction score 60 Jan 1, 2013 #3 Hongera wote!