Huyu mbunge ni zuzu na hua anaongea utumbo mtupu. Kwa mtizamo wangu wakati wa kupitisha vifungu Mnyika is the best.
Hata spika mara kadhaa huukubali mchango wa Mnyika, specifically wakati bunge likikaa kama kamati.
Huyu mbunge ni zuzu na hua anaongea utumbo mtupu. Kwa mtizamo wangu wakati wa kupitisha vifungu Mnyika is the best.
Huyu mh.kila anaposimama bungeni huwa napati shida sana kumsikiliza kwani mara kwa mara amejigeuza kuwa mtetezi wa serikali na si mtetezi wa wananchi waliomchagua.
Mheshimiwa, wewe kama mbunge, kazi yako kubwa ni kuisimamia na kuishauri serikali na si kila wakati kuponda hoja za wenzanko, hasa wapinzani,wanapoikosoa serikali.
Imefika hatu kila unaposimama bungeni binafsi huwa natamani hata kubadili channel kwani huwa sivutiwi kabisa na michango yako mingi ndani ya bunge.
Waheshimiwa,igeni mifano ya wabunge kama Mnyika,Bulaya,Mdee,Filikunjombe,Mbowe, Kangi Lugulo na wengine wachache kwa kujenga hoja za msingi na kusimamia maslahi ya wananchi ndani ya bunge.
Pamoja na wote hao niliowataja;naomba niseme tu,kwa mtazamo wangu;mbunge ambae ni the best na wakuigwa katika utungaji wa sheria hasa katika upitishaji wa vifungu, ni mh John Mnyika.
Huyu ni kijana mdogo tu lakini kwakweli huwa analeta marekebisho ya msingi sana japo huwa hayaungwi mkono na wengi.
Waheshimiwa, tuteendeeni haki sisi wananchi muwapo humo bungeni.
tena nimeskia juzi spika akimwita DR.shekif....ina maana hichi kipindi cha kikwete kila mtu ataitwa DR.na Prof.
Mi pia nilishangaa. Huu udokta wake kasomea au ni ule ule wa kupewa? Au ulimi wa spika uliteleza?