Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari za Mchana: Kunaandiko linasambaa Mitandaoni Lenye Maswala ya Ubunge wa Africa Mashariki.
1.Sina Akaunti Inayoitwa Henry_Kilewo Kwenye Mtandao wa Instagram
2.Sijawahi kuchukua fomu za kuomba nafasi ya Ubunge wa Africa Mashariki ndani ya Chama Changu.
Kupitia Maandishi haya naomba kukanusha Uvumi huwo wa kijinga unaosambazwa Mitandaoni na Watu wenye nia mbaya ya kuchafua watu wengine kwa manufaa Wanayojua wao.
Vile vile Watu hawo wanapaswa kujua ya kwamba Hekaya hizo za Uongo haziwezi kufuta Uhalali wa Vyeti vya Bashite...
Puuzeni Uozo huwo wa uongo unaosambazwa Mitandaoni..
By Henry Kilewo
Katibu Chadema Dsm