chanzo cha taarifa hii ni mm mwenyewe ambaye nilikua mazoezini jioni ya leo
Henry Joseph Shindika amerudi Simba A na leo amechezeshwa kikosi cha kwanza kuashiria kuanzishwa kayika mechi ijayo na Ashanti
Ramadhan Redondo naye ndani ya nyumba na ameanzishwa kikosi cha upande wa pili
Kocha Abdallah Kibaden Mputa "amesimamia: mazoezi ya leo tofauti na ilivyotaarifiwa na Magazeti kwamba ametalakiwa Simba-ooops na Julio alikuwepo japo hakufundisha/shiriki kabisa
Andrew Ntalla(kipa aliyesajiliwa nafasi ya Kaseja!!!) hata mazoezi anasotea benchi