barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Hemed Kivuyo kwanza style yako ya utangazaji ya kuanza na SIMULIZI ZISIZOELEWEKA kwa wengi ni kama unatwanga maji kwenye kinu.
Pili, umeshindwa kuficha unazi wako ktk matangazo yako na kwa kigezo hiko sidhani kama utatoboa ktk hiyo fani ya uanahabari za michezo. Usijixhanganye na kina Michael Owen, Paul Merson, Jamie Carragher na wengine, wale ni wachambuzi tu wa soka, sio waandishi wa habari za michezo!
Nimemsikia TENA leo akiiponda Simba kuwa eti ni miaka mitatu sasa haijawahi kukaa kileleni zaidi ya masaa 24! Eti itatolewa na Yanga ambayo wako WANAJIFUA KWELI KWELI kurudi kileleni.
KWANI TOKA MECHI YA JANA YA SIMBA, yamepita masaa mangapi?? Acha ushamba wa unazi, piga kazi!