Ni msemaji mzuri, ufatiliaji karibu na zero, wasidizi wanamchora.Ukiona wasaidizi hawafati maagizo ya mkuu ujue mkuu ni dhaifu
Rais hawezi kudanganya kwenye hiloRais Samia alitangaza value retention fee kwa wanafaika Heslb inafutwa, tamko la Serikali kupitia Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia alitangaza inafuta vrf,inafuta makato ya waliochelewa kulipa deni kuanzia mwezi July 2021.
Cha kushanganza makato yameendelea kuwepo mwezi huu,hakuna Cha deni kupungua,hakuna taarifa yeyote,tunajiuliza kwanini viongoz watuongopee.
Ile 1% ya punguzo ya Kodi ya mshahara tuliyoahidiwa nalo ni changa la macho.
Rais Samia alitangaza value retention fee kwa wanafaika Heslb inafutwa, tamko la Serikali kupitia Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia alitangaza inafuta vrf,inafuta makato ya waliochelewa kulipa deni kuanzia mwezi July 2021.
Cha kushanganza makato yameendelea kuwepo mwezi huu,hakuna Cha deni kupungua,hakuna taarifa yeyote,tunajiuliza kwanini viongoz watuongopee.
Ile 1% ya punguzo ya Kodi ya mshahara tuliyoahidiwa nalo ni changa la macho.
Ila sio Magufuli hata akitoa maelezo akiwa chooni yalifatwaKuna issue moja nilisikia leo redio asubuhi kwenye power breakfast mdau alisema ofisi hazifanyi kazi kwa kaauli za majukwaani, hvyo chunguza kama hilo tamko alilisema jukwaani basi hawafany kazi kwa kauli hizi . mpk wapewe official letters
yule mwamba aliogopwa mpaka na wazunguIla sio Magufuli hata akitoa maelezo akiwa chooni yalifatwa
yule mwamba aliogopwa mpaka na wazungu
hii so kauli ya kisomi hauwezi kudharau elimu za watuWenzako wameondolewa, sasa wewe badala uende ofisi za HESLB ujue imekuwaje unakuja humuJF kupiga domo la kisiasa utafikiri ofisi zao ziko humu.
Humu utaungana na wapiga domo wa siasa mtapiga domo, mtatukana halafu utakula utalala, halafu utaendelea kukatwa na maisha yako yatabaki vile vile.
Hizo degree siku hizi wanawapa mamburula tu.
Elimu ni matokeo, sasa kama una hiyo elimu na huna tofauti na asiye nayo maana yake wewe ni mjinga kuliko aliyo nayo.hii so kauli ya kisomi hauwezi kudharau elimu za watu
Wewe umeongelea Degree, point ipo apo ndugu.Elimu ni matokeo, sasa kama una hiyo elimu na huna tofauti na asiye nayo maana yake wewe ni mjinga kuliko aliyo nayo.
Ila sio Magufuli hata akitoa maelezo akiwa chooni yalifatwa