Usiwe unauliza swali ikiwa una jibu unalodhani ni sahihi kuliko mengine. Rejea kwenye kamusi ya TUKI kuhuusu hilo neno na tafsiri yake.
juicen 1 maji ya matunda/nyama n.k.; juisi (of grated coconut) kasimile, tui. 2 digestive/gastric ~ maji- tumbo. 3 (colloq) mafuta; umeme; gesi. juicyadj 1 -enye maji mengi. 2 (colloq) nayovutia (kwa sababu inaongelea tabia/kashfa za mwingine) give me all the juicy details leta umbeya wote. juicinessn.