help

help

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
habari wakuu,
Msaada kwenye laptop yangu, nikiconect na internet inaconnect na videos ambazo zpo kwenye torrent zinaendelea kudownload
Lakini nikifungua browser yoyote(maxthon, chrome, internet explorer) haikubali kusearch page na inanipa error code 130
Naomba msaada ili niweze kubrowse again
Natumia win7 64bits
 
Jaribu kubrowse ukiwa haurun hiyo u-torrent uone je utapata internet?U-torrent sometimes inatumia bandwith yote kiasi kwamba huwezi kubrowse.
 
Back
Top Bottom