rfjt Senior Member Joined Jun 29, 2011 Posts 186 Reaction score 66 Oct 22, 2012 #1 Nimechanganyamadawa. Nime install window xp truefast wakati wa kuinstall device imekata na skrini ya brue ikatokea yenye cod 0x0000007e nime restart lkn haijakubari nimeweka cd ya wndow xp prof lkn bado tatizo lipo ?
Nimechanganyamadawa. Nime install window xp truefast wakati wa kuinstall device imekata na skrini ya brue ikatokea yenye cod 0x0000007e nime restart lkn haijakubari nimeweka cd ya wndow xp prof lkn bado tatizo lipo ?
Mwazange JF-Expert Member Joined Nov 16, 2007 Posts 1,056 Reaction score 83 Oct 22, 2012 #2 Unaweza kuchagua chaguo la repair kwa kutumia CD hiyo XP Pro? Jarubu hiyo...maana inaonekana kama ni bad sector error hiyo.
Unaweza kuchagua chaguo la repair kwa kutumia CD hiyo XP Pro? Jarubu hiyo...maana inaonekana kama ni bad sector error hiyo.