cku hizi labda uwe mtoto wa mwanajeshi fulani, kama unavyo ona uvccm wanavyo shika chati watoto wa wanasiasa na jeshini kuingia mpaka uwe mtoto wa afande. we omba bank ukagawe pesa kwenye dirisha huo unjagu sahau labda nchi ishikiliwe na viongozi wenye uelewa ndo mambo yatakoma haya