Fikra mlazo
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 237
- 37
Helo,jameni memory card yangu inaonekana kwny storage setngs but contents zake hazionekani,nkitaka kuplay music naona tu zile nilizohamishiwa kwa bluetooth zngne czioni,ni htc desire C, yeyote anayeweza kunsaidia kufix tatzo tafadhali nisaidie.