HELP: Win2003 server password recovery tools

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,831
1,295
Wadau niko kwenye disatater nimebadilisha server role sasa inanigomea the admin password I knew and was working till recently; naomba msaada wa ku recover pasword ya Windows 2003 server! Anayemfahamau hacke r mzuri tafadhali naomba msaada wake!

naendelea kutafuta solns kwenye internet pia

Mubarikiwe
 
Du wana IT JF mmenisusia sredi mpaka nimefanikiwa....kwa njia za panya!...............

Ok nilibahatika kupata tool hapa kwenye net anayehitaji amcheki The Finest
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom