HELP - 'Simple Python Problem'

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
636
Reaction score
185
Output ninayoitaka kupitia hii simple program ni kama ifuatavyo
let say nina list mbili
list_one = 1, 2, 3
list_two = 5, 6, 7
kwa kutumia fuction ambayo ndani ina for loop natakiwa kuzidisha ( list_one(index[0]) x list_two[index[0] + list_one(index[1]) x list_two[index[] + list_one(index[2]) x list_two[index[2] )
mwisho kabisa nipate total ya mjumlisho wote huu
Sorry sidhani kama nimeeleweka vizuri but jaribu kupitia source code zangu hizi https://www.dropbox.com/s/8mfpejp4yir5nc2/Simple.txt?dl=0may be unaweza nielewa vizuri... japo still napata errors unaweza nisaidia nilipo kwama.
 
Output ninayoitaka kupitia hii simple program ni kama ifuatavyo
let say nina list mbili
list_one = 1, 2, 3
list_two = 5, 6, 7

Nimemodify sehemu ndogo sana kwenye hiyo code yako.. Angalia hapa chini.

Alafu code yako ingefanya kazi vizuri tu, tatizo kwenye print umeweka print(main(one,two)) badala ya kutumia jina la function yako.
Hii ya hapa chini ni kama kifupisho tu kwa kua nimeona unaweka variables nyingi ambazo ni unnecessary japo hii ni personal preference tu, unaweza fanya unavotaka wewe, yote ni sawa.

Code:
def add_list(list_one, list_two):
    sum_list = []
    for index in range(len(list_one)):
        sum_list.append(list_one[index] + list_two[index])
    return sum_list
    
one = [1,2,3]
two = [2,3,5]

print(add_list(one,two))
 
Dah... asante mkuu nilimix kuname fuction nimeshaona tatizo thank mkuu.. 😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…