Help, she confessed to me that she's a lesbian!

yah i'll work on it thanx a lot
 
this just screams out for a threesome !!! jamani kuna watu wana bahati humu duniani...tena ningemtafutia bisexual ambaye tungepata raha pamoja....man she is a women to keep tho usiwe mtu wa wivu maana mkienda restaurant she myt end up checking out the waitress baadala yako lol
 
sawa sawa horsepower, option 1 & 2 ntazifanyia kazi, kuhusu uhusika bado sijawa na uhakika hilo ntamwuliza, i'll be relieved if alikuwa anasagwa, instincts zangu zanambia alikuwa anasaga, that i'll find out soon, thanx kwa advice too
 

chief mie nadhani hakuna tatizo..

unless nina uelewa mdogo sana wa hii lugha uliyotumia hasa hapo nilipo bold in red color....
wuz nadhani imetumika kama "was" neno la kiingereza likimaanisha "hapo zamani alikuwa"...na kwa sahivi inatakiwa ieleweke kuwa hafanyi tena huo ulesbian wake?....wataalamu wa hii lugha nirekebisheni tafadhali...

sooo kama hakuna marekebisho ya nilivyomuelewa mleta mada ni kuwa mgonjwa wake alishapona u-lesbiani ila ametoa confession yake ili hata akisikia kuwa ni lesbiani amkingie kifua kuwa keshapona zamani.

mungu akujalieni ndoa njema na kwa uwezo wa mungu ugonjwa wake hautorudia tenaaa.
 
Kijana unatakiwa ujifunze maana kupenda kwa kuwa hujui kabisa kupenda.

Kupenda ni kumkubali mtu bila masharti,sasa masharti ya nini kijana?Pia hukutakiwa kuja hapa na kutambia haya!
 
i think The Boss wud love to hear this!
we the communist himself kuja pande hii!
 
Last edited by a moderator:
Very soon nitakuwa outdated humu na threesome yangu lol
watu wanaenda xtreme these days lol
mi ngekuwa wewe ningeikatia kabisa HATIMILIKI!kwa huu mwendo wa zis douta and sonz wa baba zao ,jiwahie tu brela mwaya!
 
Je unapenda 3some? If yes, sasa ndo wakati wa kufaidi visagaji, yani nikikamata siku hiyo hakulaliki
 
huyu wivu kwake nauondoa, ngoja kwanza niongee nae then nijue mwelekeo ni upi nianze arrange hiyo threesome, i've been luking forward to it sasa naona imejileta
 
me am just luking for help ndugu where else would you seek assistance kama lilonsibu lingekusibu, haina noma lkn eiyer thnx for the advice pia,but i dont agree wit you kwa hiyo kupenda pasipo masharti, what is masharti by the way, kila mtu hupenda kwa masharti, eg flani anapenda mwanamke mrefu good body nice ass blah blah, though wengi husema ni vigezo to me ts like masharti, mwanamke/ mwanaume wangu nataka awe msomi/ si msomi, mcha Mungu/ wa kawaida, mweupe/ mweusi, thin/ thick etc, now those ndo masharti. Hayo yatotokea mbeleni aftr lets say marriage ndo yakukubaliana nayo despite sharti kuvunjwa, mfano wife/ husband aliungua na moto she's no longer white/ black, kapata kilema nk. so i believe masharti yapogi tu ni vile tu hakuna right words ya kuya justify, correct me if am wrong.
 
ndugu yangu achana na hayo mambo ya threesome, watu wanataka ufanye tu ili ujiskie vibaya kama wao, ukibali kesho utashauriwa kula tigo na keshokutwa utashauriwa kuwa shoga..hamna raha zaidi ya kufanya yale yaliyo ya maadili ..stuka kijana utajistaftia matitizo bure
 

Huo ulesbian ni hatua tu ya kitoto wengine hupitia hasa wakiwa wamesoma boarding school...
Cha msingi wewe mkung'ute "so badly" basi hayo yote hatayakumbuka na utakuwa na mke mzuri !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…