help plz wanaofahamu ili

help plz wanaofahamu ili

phei

Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Wakuu mm nimemwomb mtu anisaidie kuaply kutokana na shida ya network huk kijijin simiyu lkn kwa bahat mbay kuna course alinijazie sizitaki sasa natak nifanye changes na aliniprintia fomu tayar je naweza fanya changes kweny cas??if yes noamba procedures za kuingia iyo profil yangu nifanye change.MSAADA PLZ..
 
Ondoa shaka mkuu,
Ingia kwenye website ya tcu, then fungua CAS halafu log in.
Kulog in utaingiza namba yako ya mtihani ya o' level na mwaka ulomaliza,
Then utaingiza password kwenye kibox kinachofuata.
Ukifanya hayo kwa usahihi bas akaunti yako itafunguka na utaona machaguo yote, kuanzia kuona selection zako, kuogeza program, kubadili mpangilio n.k.
 
Asante wakuu nitajaribu then nitawap feedback be blessed
 
Mkuu nimefanya kama ulivyonyambia bila kukosea chochote bt no result yeyote inayoniletea naishia kulog in tu
 
Back
Top Bottom