SIjakuelewa;
Walomuelewa nawaombeni mtoe ufafanuzi ili tuweze kulijadili suala la huyu mdogo wetu.
najua hili swala sio la MMU ila huku ndio kwnye watu wengi,naombeni msaada ,ni hivi wazazi wangu waliachana mwaka 2002 ambapo mama alikuwa uk,akaja kutuchukua mie na mdogo wangu wakati huo tulipewa work permit dependants vizas,kaka yangu kwa kuwa umri ulikuwa mkubwa akakataliwa,na bahati mbaya aliingia chuo hapo bongo,akaingia hadi mwaka wa tatu akaacha akisema ni ngumu kwa ujumla maisha yake hapo bongo ni magumu,na sie huku ulaya sio kwamba ni mazuri ila at least tukipata hizo benefits zao siku zinaenda........................
huyu kaka yangu nahisi anaumwa schizoprenia kama mimi kwa sababu ashawahi kuwa mad twice na mama ikabidi aje kumuangalia sasa wwapendwa nimemconsult lawyer mmoja wa huku akaniambia ni mpaka niprove hakuna means za kujicare himself in my home country and second he doesnt advice to make application kwa sababu ni complex kujaza na very expensive
hapa nachowaomba mnisaidie je kuna mtu ashawahi kufanya application? naomba maujuzi ,na nyie wana MMU naombeni mauongo ya kujaza kumake a strong case
thanks
Mkuu maelezo yako nahisi yanajichanganya...
Kuna mahali huyo nduguyo mwenye shida umeandika ni mkubwa kwako na mahala pengine umeandika kama ni mdogo wako.
Kama sababu za kukataliwa huyo ndugu yako ni umri mkubwa, mbona wewe kaka mtu ambaye ni mkubwa zaidi yake hukukataliwa??
NB:
Schizophrenia is a long-term mental health condition that causes a range of different psychological symptoms, including:
- hallucinations - hearing or seeing things that do not exist
- delusions - unusual beliefs not based on reality which often contradict the evidence
- muddled thoughts based on the hallucinations or delusions
- changes in behaviour
Doctors often describe schizophrenia as a psychotic illness. This means sometimes a person may not be able to distinguish their own thoughts and ideas from reality.

Yeye na mdogo wake walipata viza kwakuwa ni wadogo bado wanamtegemea mama yao mwenye work permit kule.
Kaka yake alikuwa over 18, sasa ndio wanatafuta jinsi ya kumsaidia kupata viza naye aende UK.
wewe ndio hujaelewa,labda nilivyoprent...ila tuliochukuliwa ni mimi na mdogo wangu wa kike,ambaye ni mdogo kwangu,kaka yetu alibaki ambaye ni mkubwa kwetu,kipi usichokielewa mkuu???
Yeye na mdogo wake walipata viza kwakuwa ni wadogo bado wanamtegemea mama yao mwenye work permit kule.
Kaka yake alikuwa over 18, sasa ndio wanatafuta jinsi ya kumsaidia kupata viza naye aende UK.
Najua hili swala sio la MMU ila huku ndio kwenye watu wengi, naombeni msaada, ni hivi wazazi wangu waliachana mwaka 2002 ambapo mama alikuwa uk, akaja kutuchukua mie na mdogo wangu wakati huo tulipewa work permit dependants vizas, kaka yangu kwa kuwa umri ulikuwa mkubwa akakataliwa, na bahati mbaya aliingia chuo hapo bongo, akaingia hadi mwaka wa tatu akaacha akisema ni ngumu kwa ujumla maisha yake hapo bongo ni magumu, na sie huku ulaya sio kwamba ni mazuri ila at least tukipata hizo benefits zao siku zinaenda....
Huyu kaka yangu nahisi anaumwa schizoprenia kama mimi kwa sababu ashawahi kuwa mad twice na mama ikabidi aje kumuangalia sasa wapendwa nimemconsult lawyer mmoja wa huku akaniambia ni mpaka niprove hakuna means za kujicare himself in my home country and second he doesnt advice to make application kwa sababu ni complex kujaza na very expensive
Hapa nachowaomba mnisaidie je kuna mtu ashawahi kufanya application? naomba maujuzi, na nyie wana MMU naombeni mauongo ya kujaza manake a strong case
Thanks.
wakuu nikitafuta hivyo vyeti,si ndio kabisa watauliza kama anaumwa na sehemu ya matibabu ipo,kwa nini aje huku?