Help please, Jinsi ya kuzima enternet Sumsung galaxy

PUNKY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
576
Reaction score
251
Kutokana na usumbufu wa bettry kuishiwa charge mara kwa mara kwa watumiaji wa sumsung galaxy. Naomba kufahamishwa namna ya kuzima enternet ili kunguza matumizi ya battry.
 
Kutokana na usumbufu wa bettry kuishiwa charge mara kwa mara kwa watumiaji wa sumsung galaxy. Naomba kufahamishwa namna ya kuzima enternet ili kunguza matumizi ya battry.

unazungumzia enternet au internet?
 
halafu hiyo "enternet" inaunguza matumizizi au inapunguza hayo matumizi ya hiyo "battry"? au ndio hivyo hivyo?
 
toa hiyo moving wallpaper, punguza mwenga, punguza muda wa mwanga kuwaka weka sec 15, diseble internet kama Lokissa alivyo kuelekeza pale unapokua hauitumii. mia
 
Last edited by a moderator:
Katika kitufe kile cha kuzima simu,ukibonyeza utaona sehemu imeandikwa 'disable data service" uki disable basi utakuwa haupo online
 
Peleka kwa balozi wako wa nyumba kumi akusaidie.
 
nenda Setings Then Accounts And Sync then unchek au Toa Tick Pale kwenye Background Sync
 
Unlock simu yako iwe tayari kupokea command kwenye icon yoyote hapo kwenye screen, Kisha weka kidole chako juu mwanzo wa screen, pangusa kushuka chini, utaona ina shuka page nyingine ina vi-icon kadhaa kama Wi-Fi, Bluetooth nk. Sweep kwenda kushoto au kulia kisha kaguse kenye alama ya data transfer (mshale wa juu na chini). Obvious katakuwa active, ukikagusa kanakuwa faint.. Hapo tayari, ukitaka kurudi mwanzo, pangusa ile page kwenda juu ama una-click rewind button.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…